[Lyrics] Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz – Katika

[Lyrics] Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz – Katika

Check out the Song below alongside with the Lyrics.

[Lyrics] Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz – Katika


[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh

[Verse 1]
Ninamidadi ka ya ruba, eeh
Kibao kata kinyonga, ooh-naa
Mfukoni namavumba, weeeh
Nungu chini linasunta, eeeh
Yani bo bo bo bo boo
Kananikoshaga robo ooo
Yani nasimama de de de dee
Kakitingisha wo wo wo wo
Baby girl dance for me one time, seketoo
Miono feni kunata, seketoo
Tena jifunge na ngata, seketoo
Zile za kibao kata, seketoo..

HOT :   [Gospel Music] Frank Edwards – Ayaya + Lyrics

[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh..

[Verse 2]
Yani katot ni, kako ni ni nii
Kamekazika ni ngi ngi ngii
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii
Kana misifa shangi ngi ngii
Nilikavizia kitamboo, aah eeh
Loe kamenasa chambo, aah eeh
Nkapakia na mgando, aah eeh
Kajegeje karambo, aah eeh
Kana michenzo ngomani
Sindimba izombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang’ombe
Yani e e e ee
Kananikoshaga roho o o o
Waga nasimama de de de dee
Kakitingisha wo wo wo wo
Oooh yaaah, ooh nadendeaa
Yani siwezi kutembea
Che cheme na checheme
Yani hadi na legea

HOT :   [Video] Rayvanny ft. Diamond Platnumz – Mwanza

[ Navy Kenzo ft Diamond Platnumz Katika Lyrics ]
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh..

[Verse 3]
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang’ang’ania versuri.online
Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto
Nakuna Nazi kwa mkongojo, aah eeh
Naunga mchuza wa sotojo, aah eeh
Una la rosti rojo rojo, aah eeh
Mikunjo Fulani wa bogojo, aah eeh
Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
Nikalaze kwa bed kitanda, kwa geto
Nikachezeshe samba, roketo
Na kalivo na body kinanda, sepetu
Tunguli zimenibamba, mobetto

HOT :   [Video + Lyrics] Helen Meju – Ihe Chim (Official Video) @Helenmeju

[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh.
[ Navy Kenzo ft Diamond Platnumz Katika Lyrics ]

The End!!!

About Citytrend007 6932 Articles
Talent Manager & Promotion Expert || Content Creator || Digital Media Professional || Send your content to slowpoison1992@gmail.com

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.
This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.